Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

View attachment 677072

Mara moja moja usiogope kumzawadia sh. 5000 kwa kumjaribu, Odds 100+..........ha ha ha ha ha ha okota zako tumjaribu Khanji



Kweli mkuu ... mara moja moja tunamjaribu kwa pass ndefu. Buku kitu gani bana ...

upload_2018-1-16_17-21-42.png
 
John Sing

Africa - Africa national championship
☆ Time : 20:30
☆ Team : Cameron - Congo
☆ Tips : [ X / X ]
☆ Odds : 4.56
☆ Trust : %1001 [HASHTAG]#Bet[/HASHTAG]&Win%
We share the best game of the day.
If you're following the most powerful
men in the market, you're in luck.
It's gonna be great this week. Watch and see.
Kama hatumtaki huyu jamaa kwanini tunamfatilia? Mwacheni aendelee na mambo yake kama sisi tunavyoendelea wala hajatulazimisha. Kwanini tunazileta humu post zake? Na kwanini bado tunamfollow?
 
INPLAY
ST GALLEN OV 1.5/2.5
LUZERN OV 1.5& GG
STAKE WIFE
 
Ukitaka raha ligi za Algeria na misri
Kuna timu zimealaaniwa na drw HT na zina kuwa na odds nzuri tu
 
Back
Top Bottom