Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mzigo wauhakika kazikwetu

PSG WIN
ATL MADRID WIN
CHELSEA WIN
VALENCIA 1X
BASAKHSEIRHR 1DNB
ANORTHOSIS WIN...
BARCEL POSP(PRED)...

STY BLSD
 
Jamani hii mikeka napishana nayo balaa sijui sababu nina shida na hela duh inauma[emoji17][emoji17].aisee.jana jana siku nzima nkifungua tu ishaanza
Subscribe huu uzi Updates zote una kua una zipata ama una tumia browser??
 
Habari za asubui ndugu zangu hili jukwaa ni moja ya jukwaa lenye watu wenye utimamu mkubwa sana wa akili na wanaopendana. Nimejaribu kuzurura kwenye jukwaa zingine nikajiuliza ndugu DeepPond, Mr Wise, Pdidy na rafiki yangu wa karibu kabisa Mr. ZZ Rumisha wangekua na roho kama za wale watoto wa FOREX sijui ingekuaje. Just imagine nishajiwekea mazoea kwamba niki refresh tu website ndani ya muda fulani nitakutana tu na cheque ya pesa bure
 
Intern friendly matches mzigo wa haja ov2.5 kauchuje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…