Nimeweka pale juu angaliaNaomba unitumie short screen maana zinakuja nyingi.
Unaona Mkuu sometimes zinakubali ukijaribu mbili tatuSaivi nmetokea kuichukia sana football bora uwe unaleta tu Basket ball mkuu mi nmeangamia sababu ya football mkuu.
Rubrey kwny hard ni mbovu,Rubley andrey win odd 1.4
Kyrgios, Nick win odd 1.08
Dimitrov, Grigor win odd 1.05
Total odd 1.6
mkuu, walah nimeikosa app hiyo cz zipo nyingi. hebu weka screen shot ya logo yake nione or share linkANDIKA smart betting tips zinazokuja hesabu ikifika yatano bebà imeandikwa daily winning tips..inayofwata rayz nayobebaaa![]()
Rublev anaongoza first set.tuombe munguRubrey kwny hard ni mbovu,
amekua akifungwa sn kwny hard na players ambao kwny ranks ni dhaifu sn.
Kinachombeba ni rank alokua nayo, ambayo ameikuza sn kwa kuperform well kwny clay&grass.
Huyo mwnzie yuko chini kwny rank, Ila kwny hard anaperform vzur sana .
Na ni mzoefu sn huko.
Na kuna baadhi ya wakubwa wameastruggle sn kupata matokeo kwake.
Hiyo game ni 50/50
Haeleweki Nani atashnda hapo.
ILA HUYO KYRIGO, SINA WASIWASI NAE.
YUKO ON FIRE THIS MOMENT
[emoji120] [emoji106]Mkeka wa Lunch
Odds: 1.63
Stake: 31,000 Tsh
Marejesho: 50,530 Tsh
NB:
Hyo ni basket phillipines, SAA 5:30 asbh
Mapambano yanaendelea
View attachment 677738
Mkeka wa Lunch
Odds: 1.63
Stake: 31,000 Tsh
Marejesho: 50,530 Tsh
NB:
Hyo ni basket phillipines, SAA 5:30 asbh
Mapambano yanaendelea
View attachment 677738
Soccer kichaa..[emoji23] [emoji23]Leo futball nimeona timu nying za hela
Sina ham na soka mzee...Soccer kichaa..[emoji23] [emoji23]
Asante Mkuu, ubarikiwe sana.MKEKA WA SUPU
Odds: 2.12
Stake: 48,000 Tsh
Marejesho: 101,760 Tsh
Mapambano yanaendelea
View attachment 677605
wana 60 na ndo 1st half[QUOTE="DeepPond,
Nipo naicheki game live hii ya basket ya wa philipino hawa phonex hawataweza kufikisha vikapu 90
Nizaajabu sana mkuu sio mchongo wala niniSoccer kichaa..[emoji23] [emoji23]