Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari za asubuhi wadau wenzangu?

Leo natest mitambo hivi! Basket Ufilipino na South Korea!

View attachment 677703

UPDATE

********************

Huyu Na. 1 Ufilipino tumeishamalizana naye!

Tunasubiria hawa South Korea!

Mapambano yanaendelea.

IMG_0152.jpg
 
sasa hapo ndio umekula ngapi mkuu maana hata sijuagi nini kinaendelea kwenye ulimwengu wa kuotea
 
7dc39f37ccdb5a7270570bac4524fe37.jpg


Habar wadau naomba muongozo juu ya hii option ya

first goal Interval 10 minutes


So mfano nikieka opition ya dakika 71-80. Katika muda huo goal linatakiwa liingie au?

Ina maana huo muda ndiyo liingie goal la kwanza. Lisipoingia muda huo (kabla au baada) inakuwa BET LOST!
 
7dc39f37ccdb5a7270570bac4524fe37.jpg


Habar wadau naomba muongozo juu ya hii option ya

first goal Interval 10 minutes


So mfano nikieka opition ya dakika 71-80. Katika muda huo goal linatakiwa liingie au?
Goli la kwanza lifungwe katika hizo interval za dk kumi kumi yaani kati ya dk 1 hadi ya kumi kama lipo hapo una kubali au ka kati ya dk ya 21 na 30 na kuendelea ina maana licpopatikana katika interval mojawapo ulochagua basi umepoteza.

Let say umeweka interval ya 1-10 alafu goli likafungwa dk ya 12 basi umepoteza ila likafungwa ndani ya dk ya 7 basi umekula.
 
Hahahaaaa dah! Ngoja niangalie kama nitaiba pesa muhindi kaondoka na mtaji na mm sina biashara yeyote aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ulianza na kiasi gani na kufanikiwa kufikisha kiasi gani na kikaondoka?
 
Back
Top Bottom