Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Habari za asubuhi wadau wenzangu?

Leo natest mitambo hivi! Basket Ufilipino na South Korea!

View attachment 677703

**************

UPDATES!

OFFICIALLY BET WON!

Tulioanza safari hii. Tumeihitimisha kwa ushindi.

Ashukuriwe muumba wa mbingu na ardhi.

IMG_0154.jpg
IMG_0155.jpg
 
guingamp vs lyon 1.5
amiens vs montpellier DNB2
psg vs dijon AH1-1
ODDS4 .
kabla sijatia mzigo mawzo yenu ni muhimu
 
Shimo limetema mkuu.

Nenda kanunue dinner safi ya kula familia leo usiku!
Aisee baada ya vichapo, nilivyoplace bet nikaacha kabisa kufuatilia game. Angalau nimesogea kidogo japo cjarudisha bado nilichopoteza. Natumai bado mkeka mmoja nijilipue baada ya huu. Hongera sana mkuu Rumisha....

Twende pamoja kumuangamiza Khanji
 
Back
Top Bottom