Pdidy
Platinum Member
- Nov 22, 2007
- 62,101
- 38,487
Mpeeeza usoooYeah ni mnigeria aisee
Mpeeeza usoooYeah ni mnigeria aisee
Mpeeeza usooo
Mawazo yenu wadau...!!apo
Ahsante mkuu! Naona hukutembea nayo lakini.?
Hiyo game ya Fenerbance itathmini upya mkuu maana hao Panathnaikos nao sio watu wa mchezo mchezo....ukijiridhisha tupiamowakuu nimechezea za uso hadi mtaji umekata.imenibidi nichukue pesa za moto tsh200000 return 260000 within30deys
hatimae nimeanza hiv:
cska moscow vs anadolu efes(europe basket)over 169.5
fenabache vs panathinaikos 1
r.madrid vs soski baskonia-home achinde kwa wining margin 8ball.
cc;BUDDY.KONCHO77,DEEPPPND etc ushauri wenu kabla sijastake
|sikio la kufa,halisikii dawa:
Ahsante mkuu! Naona hukutembea nayo lakini.?
Nyama choma iko wapi hapo chief, mi nilishatuma M-PESA kwa wife achukue steki kilo na nusu aitengeneze mapema kabisa alaf nitapitia kwenye ile mini supermarket mpya iliyofunguliwa nimchukulie juisi ya box mimi nitajua nashushia na nini iyo nyama choma
Subiri tips toka kwa viongozi kwanza nafikiri masaa mawili yajayo Deeppond atakuja na cheque hapawakuu nimechezea za uso hadi mtaji umekata.imenibidi nichukue pesa za moto tsh200000 return 260000 within30deys
hatimae nimeanza hiv:
cska moscow vs anadolu efes(europe basket)over 169.5
fenabache vs panathinaikos 1
r.madrid vs soski baskonia-home achinde kwa wining margin 8ball.
cc;BUDDY.KONCHO77,DEEPPPND etc ushauri wenu kabla sijastake
|sikio la kufa,halisikii dawa:
Hahahahaaa uko kibachela zaidi tuko pamoja chiefNipo kwenye apartment, maswala ya nyama choma jioni. Wife niko naye mbali aiseeh. Ila hawezi kukosa kutumiwa chochote
Baadae vp kutakua na cheque nyingine tuje tukachukulie pesa kwa bwana kanjiNipo kwenye apartment, maswala ya nyama choma jioni. Wife niko naye mbali aiseeh. Ila hawezi kukosa kutumiwa chochote
ni kwl mkuu ila nimecheki h2h zao naona fennabahce anamsumbua sn panathiakos na game anazocheza away sio mzuri xn kiivyo.Hiyo game ya Fenerbance itathmini upya mkuu maana hao Panathnaikos nao sio watu wa mchezo mchezo....ukijiridhisha tupiamo
Kumbe ndio maana unapoteza pesa mkeka unautunga mwenyewe alaf ukikosolewa unapinga alaf ukipigwa chini unahisi negativity tuni kwl mkuu ila nimecheki h2h zao naona fennabahce anamsumbua sn panathiakos na game anazocheza away sio mzuri xn kiivyo.
Baadae vp kutakua na cheque nyingine tuje tukachukulie pesa kwa bwana kanji
NBA is a best choice for now..... Mengine popoma tu..Lets hope for NBA! Kuna game nzuri tu..!
Mkuu hawa wachina wamekuacha salama kweli?Lets hope for NBA! Kuna game nzuri tu..!
App hii yaitwaje