faokipe
JF-Expert Member
- Jan 20, 2015
- 1,017
- 1,182
okay asante mkuuMin Sh. 300
okay asante mkuuMin Sh. 300
Hela inakuwa kwenye akaunti yako ni kama umeshawahi kubet kwenye kampuni za kibongo kwenye mtandao ndivyo inavyokuaokay mpaka hapo nimekuelewa vzr sana na kiwango cha kubet minimum ni kiasi gani?2.ukiwin wanakutumia hela baada ya muda gani
hv wana branch zao hapa TzMin Sh. 300
Yeah najua ila Mimi nacheza only third quarter basi I we over au under sichezi direct win au otHata NBA inasumbua saa zingine hasa wachezaji wakicheza siku mbili mfululizo.
Mfano team imecheza usiku wa kuamkia tarehe 17.01 tena hiyohiyo team inacheza usiku wa tarehe 18.01. Idadi ya vikapu hushuka sana.
Umeongea kwa kujiamini sana na nimeshawishika kukufuata bt niongezee confidence kidogi hasa kwa hao Strasbourg, na hao wanaocheza na Torino na je viwanja ni Neutral au kuna hme na away?Mkuu ahsante kwa ushauri but nikuhakikishie mi ni mzoefu wa miaka mi4 sasa kwenye basket...nimewekeza muda mwingi sana kwenye industry hii ya Basketball.Then option ambayo unaweza kuitabiri precisely kwenye kikapu ni direct win tu na si kingine.Hizi under na over ni purely by chance.
kwa KAZI nzuri hii unayoifanya, kama humiliki website au app yoyote inayotoa ubashiri, asee itakuwa si freshiiii...OV 2.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
OV 3.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
OV 5.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
KILA LA KHERI ALIZIFWATA..DEAL DONEView attachment 677861
hiyo OT means haft time au?Mechi zote cheza 2 way...yaani Home including OT ama kama ni Away basi iwe Away including OT.Usiiache hii pesa tafadhali
Hawanahv wana branch zao hapa Tz
kuna jinsi ya kuchat nao au hadi email?Hawana
Kama inavyokua kwenye mitandao mingine, unaweza kuchati naokuna jinsi ya kuchat nao au hadi email?
nimejaribi sijaona sehem ya kuchat nao liveKama inavyokua kwenye mitandao mingine, unaweza kuchati nao
Sportpesa sio longolongo Mkuu sema leo wametoa taarifa wanarekebisha miamala,jamaa huwa hamna longolongoWAKUU HIVI HAWA SPORTPESA WAKO VIPI KWENYE HUDUMA ZAO,NIMEJIUNGA NAO LEO NIKAFANYA DEPOSIT ILA NI MASAA 3 SASA ACCOUNT HAISOMI CHOCHOTE,NIFANYEJ?.
888 au andika sportpesaMKUU HIVI NAMBA YA KUMBUKUMBU YA MALIPO KWA SPORT PESA NI IPI?.
Ahsante mkuu,je namba ya kumbukumb ya malipo huw ni IPI?.Sportpesa sio longolongo Mkuu sema leo wametoa taarifa wanarekebisha miamala,jamaa huwa hamna longolongo
Shukran888 au andika sportpesa
888 hiyo kumbukumbuAhsante mkuu,je namba ya kumbukumb ya malipo huw ni IPI?.
Hapana ina maana ya OverTime.Yaani full time wanaweza walingana idadi ya basket so wanaongezewa extra time ili mshindi apatikanehiyo OT means haft time au?