Sumti
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 2,342
- 2,196
Mkuu vuta subira tu. Mie juzi nilikaa 24 hrs ndio muamala ukadosoma. Ila wametuma msg kuwa wa nafanya marekebisho makubwa kuhusu miamala kwa hiyo tuwe watulivu na wavumilivu.WAKUU HIVI HAWA SPORTPESA WAKO VIPI KWENYE HUDUMA ZAO,NIMEJIUNGA NAO LEO NIKAFANYA DEPOSIT ILA NI MASAA 3 SASA ACCOUNT HAISOMI CHOCHOTE,NIFANYEJ?.