Z. Z. Rumisha
JF-Expert Member
- Nov 29, 2012
- 1,044
- 885
Aisee baada ya vichapo, nilivyoplace bet nikaacha kabisa kufuatilia game. Angalau nimesogea kidogo japo cjarudisha bado nilichopoteza. Natumai bado mkeka mmoja nijilipue baada ya huu. Hongera sana mkuu Rumisha....
Twende pamoja kumuangamiza Khanji
Pamoja mkuu! Nilitembea na wachina, nilipoona huu unaelekea kutema. Ndiyo nawasubiria hapa. Wachina huwa hawatabiriki kama Wakorea tu. Unaweza kushangaa wakaanza kukata viuno tu....