Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Safi sana mkuu,kama hutojali waweze waelezea na hao wengine ili tuweze kupata elimu pana zaidi ambayo tunaweza itumia kwa baadae
Sawa mkuu hakuna neno.Twende kwenye game ya Buducnost v Trento.Buducnost anatoka Montenegro na ni moja ya team zilizo on fire msimu kwenye international games.Buducnost katika mechi 20 alizocheza nyumbani kwake msimu amepoteza mbili tu tena Lokomotive Kuban Krasnodar(hili ni jabali la basket hata CSKA kashachakazwa) na nyingine akapoteza kwa wababe Bayern Munchen.Mpinzani wake yaani Trento anatoka Italy na timu inayofanya vizuri kwenye mechi za nyumbani kwenye ligi ya ndani yaani Serie A na na ligi za nje
 
INPlay
PORTUGAL W U19 OV2.5
ISTANBUL OV 2.5
APOEL OV 0.5 HT
ATLETICO MALAGUEDO GG &OV1.5

ALL TH BEST
 
nimejaribi sijaona sehem ya kuchat nao live
Unaweza kuchati nao pembeni pale kwa juu kulia kuna vi mistari mistari klick hapo shuka chini mpaka sehemu imeandikwa support.

Tumia tu zilizopo Tanzania nazo mbona ziko poa, kama sio mzoefu wa mambo ya mitandao itakupa shida. Kwa kujaribu ingia google search 1xbet app yao au hata kwenye website yao unaweza kuipakua. Kwenye app kuna njia rahisi zaidi ya kuchat nao
 
Safi sana mkuu,kama hutojali waweze waelezea na hao wengine ili tuweze kupata elimu pana zaidi ambayo tunaweza itumia kwa baadae
Keravnos v Cluj Napoca.Cluj napoca hawa ni Waromania na ofcoz ni team nzuri hasahasa kwenye ligi yake ya ndani though kwenye international games ni wa kawaida sasa ni bahati mbaya anakutana na hawa Wacyprus-Keravnos ambao msimu huu ni unbeaten in 10 consecuctive games akiwa nyumbani in all competitions.Lakini cha muhimu kunote hapa ni kwamba team za Cyprus iwe kikapu au hata football huwa zinatumia vizuri sana Home field advantage.Angalia kwa kina Apoel,Apollon Nicosia,Aek Lanarka ni team zinakuwa solid zinapocheza nyumbani
 
AL WAHDA
KUWAIT
SLAMIYA
AL NASR

OV 0.5HT/FT OV 1.5

WAHDA WIN OR DRW
OV 2.5 ...
 
Unaweza kuchati nao pembeni pale kwa juu kulia kuna vi mistari mistari klick hapo shuka chini mpaka sehemu imeandikwa support.

Tumia tu zilizopo Tanzania nazo mbona ziko poa, kama sio mzoefu wa mambo ya mitandao itakupa shida. Kwa kujaribu ingia google search 1xbet app yao au hata kwenye website yao unaweza kuipakua. Kwenye app kuna njia rahisi zaidi ya kuchat nao
nshaelewa mkuu nahitaji kubet basket huko naona optin zao ni rahisi kuliko hz za nyumban
 
AL WAHDA
KUWAIT
SLAMIYA
AL NASR

OV 0.5HT/FT OV 1.5

WAHDA WIN OR DRW
OV 2.5 ...
Mkuu uko vzr kwa kuandaa nondo lakn unaonaje ukawa unatutengenezea walau odd 2 uhakika watu tujitungue? Uongo mbaya timu zikiwa nyingi nakosaga jins ya kufanya selection na odd zetu za 20k
 
IMG-20180117-WA0060.jpg
IMG-20180117-WA0059.jpg
IMG-20180117-WA0054.jpg
 
NW OV 2.5 BASEL
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]

WEKA OV 3/5/4.5
CS 2-3
 
APOEL GG N OV 1.5
1-1
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]

KUWAIT OV 0.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
AL WAHDA OV 0.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOM[/HASHTAG]
AL NASR OV O.5 [HASHTAG]#BOOOOOOOOOM[/HASHTAG]

WEKA APOEL OV 2.5
STAKE WIFE

AL NASR/WAHDA/KUWAIT OV 1.5

MAXBET
 
Back
Top Bottom