Nyakwec's Bro
JF-Expert Member
- Apr 27, 2012
- 820
- 174
Kanjibhai nimempiga leo nasubiri salio langu asubuhi!..
Mambo yote iplay8,unarudishiwa mtaji wako na faida juu huku sasa ndy pakupiga madolali nimecheza dola 5 faida dola 9
jumla dola 14 habari ndy hiyo!..
Kanjibhai nimempiga leo nasubiri salio langu asubuhi!..
Mambo yote iplay8,unarudishiwa mtaji wako na faida juu huku sasa ndy pakupiga madolali nimecheza dola 5 faida dola 9
jumla dola 14 ,hapo nimechezea bonus niliyopewa baada ya kujiunga mm bado sijadiposit kitu accaunt inasoma $17,habari ndy hiyo!..
Huko unajiungaje mkuu,maana huku kwingine naona sio...Nataka nikamate dollar.
"Nlikuwepo":bolt:
Nimepiga dola 30 leo
Nimepiga dola 30 leo
Uliweka mechi gani paka na kwa kiasi gani?
Nilimpa liver handicap hela yote
Mi sahv nadili na handcap draw jana pia imenitoa kwa spoting na evaton na hii kitu ukipata game 3 ktk mkeka mmoja hela yake ni ndefu coz kila game cap draw huwa na point 3 na kuendelea
Za leo unampa nani C.E.O?
Nilimpa liver handicap hela yote
Ivi pale kwenye zile handicap kuna alama kama -1 -2 zina maana gani
kanjibhai kazuia mtaji wangu,nilimpiga jana kwenye mbet hadi sasa hivi kimya,hivi huwa analipa saa ngapi huu?..
uliweka mechi gani paka na kwa kiasi gani?