Tatizo hutumi Mzee tukufwate!Asante Fenehbahce, nusu mabaharia (Panathinaikos) waharibu mkeka.
Mkuu tip za basketball zimetolewa mchana na wadau humu. Mie nimecopy tuTatizo hutumi Mzee tukufwate!
Pole sana Mkuu, mie mchana kikapu kimoja kimenikosesha hela ya maana.Atletico Madrid anakubali goli dk za majeruhi na kunikosesha hela nzr sn ... daaaah hii biashara inahitaji zaidi ya moyo wa chuma. Jana tukabalansiwa vikapu vinne, leo Atletico ananikosesha hela dk za majeruhi ... duuh ! Odds 29 hazina maana tena.
View attachment 678322
Pole sana Mkuu, mie mchana kikapu kimoja kimenikosesha hela ya maana.
Pamoja Mzee.Mkuu tip za basketball zimetolewa mchana na wadau humu. Mie nimecopy tu