Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

aae566d50443a018c32c98208666006f.jpg


Sifaa kwa BWANA.SIKUZOTE

WALIOFWA
TA NEEMA INAENDELEAA ..ZILIKUWEPO TOKAJANA NA LEO
 
Mkuu ukiadd kuna iyo button ya kurudi nyuma alafu kuona betslip unabonyeza iyo menu bar juu kushoto scroll down utaona bet slip
nimediposit 1xbet hd now peas aijaingia kwnye account.nawaulisa eti tuma screenshot wakati pesa nimetumia simu ya toshi.nabet kwa pc alufu kiswahili awajui duu tabutupu.na mm lugha aipandi.daah hataree
 
Salam wakuu. Habari za kazi. Nidhamu kazini izingatiwe. Kile ulichoanalyze ndio kifanyie kazi.

Tusipende kuweka kokoro. Tuwe na mazoea ya kuweka odds 2-3. Za uhakika. Hii vita ni ngumu.

Leo
Sporting lisbon win
Loriente win
Newpot win.

Niwatakie kazi njema.
 
PDIDY KOKOROOOOO

KASIMPASI GG
[HASHTAG]#WOOOOOOON[/HASHTAG]

KASIMPASI OV 2.5
[HASHTAG]#WOOOOOOOON[/HASHTAG]

MIDTYLAND OV 2.5
[HASHTAG]#WOOOOOOOON[/HASHTAG]
 
mkuu usisahau kutuchambulia zile option unazoona are the best kumla mhindi
Kuna hii option iko inplay kwny kila mechi

Hii option naona inatoa sana kwa single bet.

Afu unaikuta Mara nyingi ina odds 1.5+ kwa mechi moja.

Inaitwa
"What happens first, thrown in or foul"
within the next 2 minutes.

Binafsi napenda kucheza "throw in"

Hiyo "foul" INA odds kubwa zaidi (odd 2+) Ila ni ngumu sn.

NKO NAKOMAA NAYO INPLAY.

Nmeshacheza slots 8 mpk sahv

nmekula slot 6, nmepoteza slot 2

HONESTLY,
IJAPOKUA SIJA
 
THUN OV 2.5
PDIDY KOKOROOOOO
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
 
Kuna hii option iko inplay kwny kila mechi

Hii option naona inatoa sana kwa single bet.

Afu unaikuta Mara nyingi ina odds 1.5+ kwa mechi moja.

Inaitwa
"What happens first, thrown in or foul"
within the next 2 minutes.

Binafsi napenda kucheza "throw in"

Hiyo "foul" INA odds kubwa zaidi (odd 2+) Ila ni ngumu sn.

NKO NAKOMAA NAYO INPLAY.

Nmeshacheza slots 8 mpk sahv

nmekula slot 6, nmepoteza slot 2

HONESTLY,
IJAPOKUA SIJA
Kwa post yangu hapo sijapata majibu
 
Kuna hii option iko inplay kwny kila mechi

Hii option naona inatoa sana kwa single bet.

Afu unaikuta Mara nyingi ina odds 1.5+ kwa mechi moja.

Inaitwa
"What happens first, thrown in or foul"
within the next 2 minutes.

Binafsi napenda kucheza "throw in"

Hiyo "foul" INA odds kubwa zaidi (odd 2+) Ila ni ngumu sn.

NKO NAKOMAA NAYO INPLAY.

Nmeshacheza slots 8 mpk sahv

nmekula slot 6, nmepoteza slot 2

HONESTLY,
IJAPOKUA SIJA
Unaposea throu in unakua unamaanisha nn
 
Unaposea throu in unakua unamaanisha nn
Throw in- maana yake ni Mpira wa kurusha.

Kwahyo,
Kwny option ya
"To happen first, Throw in or Foul"

Next 2 minutes

Wanamaanisha kua,
Ndani ya dakika 2 au 4 zijazo, kipi kianze kutokea kwny mechi husika.

Iwe ni Mpira wa kurusha au iwe Faulu.

Mm napenda kuchagua Mpira wa kurusha maana naona ni rahisi Mpira kutoka nje kuliko kutokea faulu ya refa kupuliza filimbi.

Kingine ni kwamba,
Uzuri wa hii option, ukikomaa unatengeneza Pesa nyng kwa mechi moja maana kila baada ya DKK 2 unatengeneza slot 1.

Mechi ya DKK 90 ikija kuisha, unaweza jikuta umetengeneza Pesa nyingi mno kwa odd 1.5+ kwa kila single bet.

Nmekua nkikomaa na mechi 1 tu ya Libya vs Nigeria.

Nmeshakula slot 9 ,kati ya 11 nlizotengeneza tokea mechi ilipoanza.

Na bado naendelea kikomaa na hyo option mpk sahv.

HONESTLY, INALIPA SANA
 
Muda mwingine naona kama ligi ya TURKEY inabedi ndiyo maana naicheza magoli mara nyingi
 
Back
Top Bottom