Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

endelea endelea ikifika mda wa hesabu utupe mrejesho na sie ikiwezekana tujiunge huko
 
Unaposea throu in unakua unamaanisha nn
Muda mwingine kutfsiri kidhungu ni kazi wacha nijaribu kama utanielewa.
Hiyo option ya 1minute event ( tukio lolote la kimchezo mfano goli, kona, faulo, kuotea ikiwa na maana offside, mpira wa kurushwa) sasa hapo ni kwamba unakubali ama unakataa kama kuna tukio lolote kati ya hayo niloweka kwenye mabano.
Throw in- ni mpira wa kurushwa
Free kick- faulo
Coner- kona
Offside- kuotea nk.

Tukija kwenye Throw in ni kwamba ndani ya dk hiyo moja ama mbili unatakiwa kuchagua kama litatokea tukio la kurushwa mpira ama la. Ukisema yes ( kukubali) na ndani ya hiyo ama hizo dakika katika hali ya mchezo mchezaji wa timu moja akatoa mpira nje na refa akapiga firimbi kuashiria mpira urushwe na mchezaji wa timu pinzani kuelekea lilipo goli la timu ya mchezaji alietoa mpira nje hivyo hapo utakuwa umeliwa. Utakaposema No ( kukataa) na ndani ya dakika hiyo ama hizo zilizowekwa hakuna tukio la kutolewa mpira nje hivyo hakuna kurushwa utakuwa ume shinda wewe na utalipwa mpunga wako.

Mkuu sijui utakuwa umenielewa??
 
wakuu hapo wanaposema yelocard dk 0_33 sijapaelewa cc DeepPond Koncho7
 
Kasimpasa vs Alanyaspor K
Score: 1 - 2
Min: 45+3

Penalty - Scored

Kaziiimeanza huko...ongezeaaa 4.5/5.5
Kalesupuu
OV 3.5/4.5
[HASHTAG]#BOOOOOOOOOOOOM[/HASHTAG]
3-2....
NYTNYT ALL
 
Hebu sema sasa umewekaje pesa baada ya jana kushindwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…