Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo



Pale ambapo ktk mkeka wako amebaki Barcelona tu na ulimpa WIN alafu kiroho kinakutamanisha ubofye CASHOUT....hahaha asante PMBet nikizidiwa natoa na kutandika mkeka mwengine
 
Kaka vip kaka sion tena silot zak za noti mwaga madini kaka kanji ang'olewe roho bila kupendaa
 
Salaam, wale wa PLAYMASTER ni wapi tunabofya ili kufanya iyo CASHOUT. Nimeona screenshot hapo juu mdau kaituma, natanguliza shukran!
 
Imeanza lini?leo au?maana nimeondoka jana huko ksho naamisha pesa kabisa naanza elfu 50 tu ya kuingia mara mojamoja
Me nmekuuliza kama wanayo cashout
Cz naona ndo unatumia au hyo pmbet
Co premierbet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…