Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh,
Tottenham hata hapati offside jamani.

Nmempa double chance ya offside - odds 5.1

Namdai offside moja tufunge biashara

Eeh mungu saidia
 
Hakuna option perfect kwa 100%. Hizi timu zilikuwa 0-0 hadi dk ya 88, nikacheza inplay itoke droo kwa sh 20,000 kwa odds za 1.20.
Maajabu dk ya 90 zimeingia goal 2 yaani siamini toka saa 11 kama nimeliwa kizembe hivyo.
Giresunspor 0 - 2 Boluspor



Pole sn Chief ... faida ya TZS 4,000/- uloitaka imekuponza.
Yani Kanji muda mwingine ni km anaroga ... hapo ungeweka double chance 1/2 ungeshangaa inaisha droo
 
Hakuna option perfect kwa 100%. Hizi timu zilikuwa 0-0 hadi dk ya 88, nikacheza inplay itoke droo kwa sh 20,000 kwa odds za 1.20.
Maajabu dk ya 90 zimeingia goal 2 yaani siamini toka saa 11 kama nimeliwa kizembe hivyo.
Giresunspor 0 - 2 Boluspor
Pole mkuu
 
bf113799f381327f6f2f2efa41af58aa.jpg


Uhakika n 100% sure..... 10 min X uhakika ni sanaaa... another win for today.. kama ulifuata.... fresh wadau



Le Proffesor ... km una mwingne tafadhari share ...
 
Yani ni shidaaa ... yani alichonifanya jana na leo aiseee sio kwa kubalansiwa huku aiseee.
Mkeka mmoja nimekosa 626,000/= (timu moja imeshindwa kuongeza goli moja ipatikane over 1.5 --- tena goli lilifungwa dk ya 12 halikupatikana jingine mpk dk 90 zinaisha) na mwingine leo nimekosa 769,000/= (mTunisia mmoja nimempa Under 3.5 ilikuwa na odds 1.12 kataka sifa game imeisha 4-1) ... km sio uchawi ni nini????

Mkuu km una odds kati ya 1.7 mpk 2 naomba ushee na mm ... mimepata odds 1.5 kwa mkuu Moyess
***** madrid leo kaishia kona saba tu yaan nnamajonzi ya 1×bet na huyu kanipngezea machungu zaid mamaeeeee [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Bora hat kubet inplay aisee kipigo cha before play ni tofauti na kipigo cha in play kanji akiona option za watu zimeenda kwenye sana sehem fulan sijui anatoa mtonyo ? Maana duh !
 
Bora niendelee na inplay maana tokea asubuhi inaniingizia tu, nimejaribu kucheza wa kawaida na kumpa spurs Over2.5 naona kauchoma
 
Duh,
NLKUA NMEINGIA CHOO CHA KIKE WAKUU,

Aisee,
Hii option ya sell odds inasaidia sana.

Nlikosea kwny inplay badala ya kuweka Over 2.5 full time,

Nikaweka over 2.5 kwa southampton peke ake

Nligundua baada ya Kucheck, nkashangaa mbona odds zmekua kubwa sana.

Nikarudi kuona tena kwny bet history.

Ndo nkakuta nmempa soton peke ake apige magoli over 2.5

Duh, afu stake nlitia 85K

Fasta fasta nikaenda kwny kusell odds

Nikaweza kucash out 79K fasta.

Hakyanani, bila hii option nlkua sina changu aisee.

SOMETIMES HII OPTION INASAIDIA JAPoKUA NMEPATA HASARA YA 6K
 
Tottenham such evil football team 120k ×1.88 ashinde naona imebuma
Second half hata shoot on goal moja hakuna..
 
Back
Top Bottom