Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Pale kwny mkeka , kuna kibatoni kinaitwa "sell odds"

Ukikibonyeza biashara imeisha
Deep Pond sorry kama narudia hili swali labda lilishaulizwa...1x Bet unadeposit kwa mtandao gani na je withdrawal nilisikia mtu anasema inasumbua au imekaaje?
 
Nice vs saint etiene 1win
Usiweke 1.5 wamekuwa wanaviwango vya kawaida haswa kwenye mechi yao ngumu.saint miaka ya karbun hana ubabe.
2.bolgona vs benevento 1win
Pamoja na kbonde benevento kuwn 2 last match usimpe win hana ujanja ugenin hajawah pata matokeo na hawez pata leo.
Veron vs crotone 1.5 verona .crotone alisumbua 2012 huko hana tmu tme hii.
Udinese vs spal udnes 1.5 mechi ya kisas hii bao lazma .udinese anansfas kubwa ya win
Bayern vs bremen bayern win or 2.5 coner 6 watawashambhlia sana na n chakula yao
Monaco vs metz monaco win ingekuwa msimu 2016-17 ungeweka 2.5 mana huwatandkaga jumla 12 goal hme and away lakin s monaco ya sasa.
Betis na Barca draw hii mechi usimpe barca hawa wanaume ni solid na wako njema tis tme waliwah kumsimamishaga barca akiwa on fire .weka double chance.
Real Madrid vs la coruna Madrid win .usiweke hata 1.5 lakin atashinda
 
upload_2018-1-19_19-1-56.png
 
Wakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
 
Wakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Na kwangu ivo ivo, hata sms ya beyonic haijarud
 
Wakibwa nimetuma pesa 1×bet lakn mpaka sasa hata muamala siuoni ulipaji 1×bet upo complicated mno ukijisahau kidogo tu imekula kwako sijui nifanyaje tu.
Mi tangu juzi nasumbua nao nimewatumia evidence zote but hola kila nikiwauliza wananiambia wanashughulikia hivyo hakuna haja ya kuwatumia email tena maan tatizo langu linashughulikiwa ***** zao daa
 
Back
Top Bottom