Kala red card ya pili Valencia ukoDuh, zimefika njano 7 kwa Valencia peke yk
Akitoka bila red nyngn akatambike Leo.
Amebaki mchezaj 1 tu asie na yellow pamoja na kipa.
Mchawi Nani hapo mkuu*****![]()
Atletico na napoli...Mchawi Nani hapo mkuu
Duh, huyu refa wa Leo hana kabisa utani.red ya pili kwa Valencia
Huyu refa wa mechi ya valencia anaitwa Jose munuera (spain)Duh, huyu refa wa Leo hana kabisa utani.
Inabd nifatilie stats zake.
Anafaa sn kubet yellow/red card
Wadau wa PMbet hivi mechi za kikapu naziona wapi?
Ya wototo mkuuPole sn
Napoli hajacheza mkuu, yupo kesho
Dah, pole snYa wototo mkuu
Thanks MkuuView attachment 680967
Kama una tumia simu make sure browser yako ume request desktop version (chrome i recommend)
Ama tumia pc kufungua web yao
Nenda apo ALL games utaona other sports i.e Basket. Hockey etc
Mkuu jinsi ya kufanya cashout 1×bet inakuaje?Pole sn
Napoli hajacheza mkuu, yupo kesho
Pale kwny mkeka , kuna kibatoni kinaitwa "sell odds"Mkuu jinsi ya kufanya cashout 1×bet inakuaje?
Duh,
Cleverland Kawa maharage ya obeys skuhz
Anakimbizwa mchaka mchaka wa kijeshi huko
Sawa ngoja nisubiri wanilipe pesa kwenye mkeka niwahame manina zao.Pale kwny mkeka , kuna kibatoni kinaitwa "sell odds"
Ukikibonyeza biashara imeisha
Cleverland nayeye ***** ameshaharibu mkeka wangu [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh,
Cleverland Kawa maharage ya obeys skuhz
Anakimbizwa mchaka mchaka wa kijeshi huko
Mechi haijaisha mkuuCleverland nayeye ***** ameshaharibu mkeka wangu [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]