koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Mkuu kwa ushauri tu kabla hujaamia pmbet kwanza ingia mchezabet uangalie option zao mbona utawapenda tu.Plus conners tatizo huku si kila game anaweka conners. Ntaacha pesa kidogo huko kama elfu 50 tu ya kuingia mara mojamoja, sa natafuta kwa kuhamia
Wana option hadi ya kama mechi itapatikana penalti ama lah!