Bhagavan
JF-Expert Member
- Oct 28, 2017
- 2,050
- 2,964
Hawa jamaa wa 1xbet leo wameshindwa kuupdate bet slip yangu. Nilicheza keno hiyo ya mwisho draw yake ilifanyika saa 16:15 mpka sasa bet slip inaonyesha live. [emoji28][emoji28][emoji28]
Tuwe makini na haya makampuni ambayo hayana usajili hapa nchini kwetu incase of anything bad can happen huna pa kuwashtaki. Tusiache kuitumia ila tuwe aware na vitu kma hivyo ambavyo vinaweza kutokea