Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

In play bet

Mechi ya man city

Odd: 2.77
View attachment 680891
nimegundua sasa kwann wanazipa odds kubwa hakuna option rahisi la pili limepatikana kwa penalty

nashawishika kusema hawa wamiliiki na wafanyakazi wa kampuni hii walifanya tafiti za kutosha na ni wataalamu walio bobea kwenye maswala ya kubeti ni kama wanaoteshwa hivi duh
 
Tangu nipigwe laki tano kwa option ya under 4.5 goals kwa dakika 6 za mwanzo zikafungwa goli 4 sijawahi kucheza zaidi ya laki moja.
Lakini leo nimeweka laki mbili kwa Real Oviedo na ameshinda nimepata faida ya 120k nimeamini hakuna option rahisi wala ngumu kwenye betting isipokuwa uchambuzi ndio muhimu hata direct win unacheza tu ilimradi uamini uchambuzi wako.
 
Hivi PMbet wana option ya cashout?nimeamua kuhama premier rasmi na nataka kuamia huko. So naamisha pesa zote week hili
 
Arsenal FC - Crystal Palace
Over 1.5 goals

Burnley FC - Manchester Utd
Manchester United

Everton FC - West Bromwich Albion
Over 1.5 goals

Leicester City - Watford FC
1/X

Stoke City - Huddersfield Town
1/X

Manchester City - Newcastle Utd
Manchester City

Afc Wimbledon - Blackpool FC
Under 3.5 goals

Odds:
6.10
BET WON
 
Mkuu premier imekuwaje tena maana pmbet ile 18% inayokatwa hawairudishi kama bonus kwa ushauri kama unahama premier bora uende mchezabet au princessbet.
Plus conners tatizo huku si kila game anaweka conners. Ntaacha pesa kidogo huko kama elfu 50 tu ya kuingia mara mojamoja, sa natafuta kwa kuhamia
 
Back
Top Bottom