Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

MKEKA WA PESA

Slot No.2

Odds: 2.07
Screenshot_20180120-143953.png
 
Hzo option princess hakuna mkuu.

Option za pesa hizi.

Eti unaulizwa,
"Kwny mechi ya Leo, Chelsea na Brighton. Je, litafungwa goli lolote kwa mguu?"

Jibu: NDIOOOOOOOOOO

Ha ha ha......
Sijui ntakua ni mjinga wa aina gani nikisema hapana!

Kwani hii imekua netiboli kwamba wasifunge goli kwa mguu!
Duu bas 1xbet ni[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Arsenal FC - Crystal Palace
Over 1.5 goals

Burnley FC - Manchester Utd
Manchester United

Everton FC - West Bromwich Albion
Over 1.5 goals

Leicester City - Watford FC
1/X

Stoke City - Huddersfield Town
1/X

Manchester City - Newcastle Utd
Manchester City

Afc Wimbledon - Blackpool FC
Under 3.5 goals

Odds:
6.10
 
Kuna wale majamaa kaingia kwenye jukwaa mara moja mara mbili baada ya siku kadhaa anaomba mtaji hahahahaha wazee watu wajukuwaa hili tuna wajua wale wazawa kabisa tuna wajua sasa wale wanao taka leta uhuni sio poa kuna watu tunaona kabisa kweli fulani amekwama anahitaji kiji mtaji kidogo wale wapita njia endeleeni kupita hivyo hivyo
Kweli mkuu.
 
9 teams accuracy 95%
[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Slough win @ odds 2.62
Maidstone win @ odds 2.40
Aldershot win @ odds 2.00
Wycombe win or GG @ 1.95
Lincoln city win @ 2.10
Oxford utd win @ 2.15
Osmanlispor GG @1.95
Fortuna koln win @ 2.15

ALL THE BEST: TOTAL ODDS 2088.9[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
 
Back
Top Bottom