nyegere86
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 2,215
- 3,903
Koncho77 hembu nipe link ya hao jamaa. Hii kampuni ipo bongo?? Siyo ile wadau walikuwa wanasema ni ya russia???Mkuu hama unafanya nini huko.
Eti 1xbet wanaipa timu handicap ya vikapu 13 wakati inazidiwa vikapu vinne tu inplay halafu odds eti ni 2 jana nimempuna vya kutosha