Hawakati mkuu, wewe chukua odds zako zidisha kwa Stake yako utaona namna ambavyo unapata hela yako ile ile.WANAKATA MZEE
Hamna ukimpiga mhindi mkuu
uwe unatujuza option nzuri nzuri mkuu tushindwe wenyeeweYap,
Nmetengeneza faida kubwa,
Japokua nlikua nacheza stake ndogo ndogo kwa ajili ya kutest mitambo.
Mambo yalienda vzur.
LEO NATAKA NIONGEZE STAKE, NI TENGENEZE FAIDA KUBWA
Ligi zoteeWakuu hao 1bet option ya kona IPO kwa ligi zipi
Wewe unabetia kampuni gani?Beting zote zilizosajiliwa bongo wanakata 18 % ukitusua.
Yap,uwe unatujuza option nzuri nzuri mkuu tushindwe wenyeewe
Fanya fasta ukuje uku tutengeneze mapesa mkuu
Mambo safiHahaha niko huko tayari mkuu ... na nimeshadeposit mzigo.
mkuu hiyo option sijaiona. inapatikana kipengele gani?Yap,
Nshaweka mkeka tayar.
Jaribu kuucheck
Hapa sasa mkuu wangu deeppond unatuacha kwenye mataa wafuasi wako wa princess[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hapa sasa mkuu wangu deeppond unatuacha kwenye mataa wafuasi wako wa princess[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawakati mkuu, wewe chukua odds zako zidisha kwa Stake yako utaona namna ambavyo unapata hela yako ile ile.