Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,714
- 4,738
Hizo odds ngapi50% win chance
Hizo odds ngapi50% win chance
Hizo odds ngapi50% win chance
Kaniboa sana huyu mjinga
Hesabu yako haiko sawa mahala!!pesa ya asubuhi wakati tuna cheki mechi za mchana mechi inaanza saa tatu na dakika 35
Newcastle United Jets FC WIN 1.65 X 50000=165,000
Si kweli jomba ulicho kisikiani chini ya sh 10000? maana nlisikia huko eti ukiweka 5000 haisomi na nliwah kutuma 5000 haikufika sikutuka kuwapigia ili wairudishe nikaachana nao tangu siku hiyo!
Bado kidogo nihamie 1×bet princess makato yamezidi
18% bado ukiweka pesa wanakata.Makato kwenye nini mkuu?
Princess hawaki asilimia 18 mkuu18% bado ukiweka pesa wanakata.
WANAKATA MZEEPrincess hawaki asilimia 18 mkuu
18% tax au ni pote?Princess hawaki asilimia 18 mkuu
Wanakupa bonus ina fidia kweny iyo kodi so huwezi kunotice ayo makato....WANAKATA MZEE
18% ni lazima hii ina enda serikalini kupitia hao Gaming board18% tax au ni pote?
Mchezabet na supabet wanakupa bonasi pia18% ni lazima hii ina enda serikalini kupitia hao Gaming board
Baadhi ya kampuni wana kulipia iyo kodi ili kukufanya ww mteja uendelee kutumia
Kwa online betting coy za bongo ambazo wanakata kodi ya 18% na hawakupi Bonus ni
1. m bet
2. Playmaster
Wanao kata kodi na kukulipia iyo kodi kwa kupa Bonus nnazo zifahamu
I. Premierbet
II. meridianbet
III. Princessbet