911sep11
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,469
- 4,312
ni chini ya sh 10000? maana nlisikia huko eti ukiweka 5000 haisomi na nliwah kutuma 5000 haikufika sikutuka kuwapigia ili wairudishe nikaachana nao tangu siku hiyo!Wazee wenzangu nimedeposit hela tgo pesa meridian bet toka alhamis mpaka leo stake haisom.ijapokuwa tgo pesa walishanifahamisha kuwa nimefanikiwa kutuma nafanyaje?