Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

79b7c8007e81c621bd243c26ffa26c4e.jpg
172b557f369bfec73c843e76bc3e2ca0.jpg

exico amehitimisha kokoroooo zetuu za mwaga nyuki..gmorning
 
Nataka kulipia Bet Slip 1XBet, inasema "Game is not found in Sports" ... shida ni nini? na games nilizochagua bado hazijaanza, zinaanza saa 9 usiku
 
00d74247c1e969172fb25ca5b6f770ad.jpg
FREE GAME WON[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]☄☄[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]☄☄[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji106][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji123][emoji123]☄☄☄[emoji106][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji123][emoji123]☄☄[emoji91][emoji91][emoji736][emoji736][emoji736] free game win [emoji106]☄☄☄[emoji736][emoji736][emoji736]
 
Nataka kulipia Bet Slip 1XBet, inasema "Game is not found in Sports" ... shida ni nini? na games nilizochagua bado hazijaanza, zinaanza saa 9 usiku

Angalia option uliyochagua labda imeshafungiwa inakuwa na kaalama cha kufuli au game imeshaanza
 
wakuu msibeti game za saudi arabia huko jamaa wanazinunua peupe kabisa...game imeongezwa dakika 5 iko 1-1 refa anachezesha mpaka robo saa inapita goli lilipofungwa tu game ikaisha hapo hapo utadhani walikua wanacheza golden goal
Uzuri wake hilo gori halina meno.mbele ya betting
 
Asante sn Chief ... hebu ngoja nijaribu. Maana jana nilideposit kwa nyia ya Beyonic (m-pesa) wakasema walikuwa na shida na m-pesa.
Tena mkuu hiyo njia ya beyonic ndio nzuri hakuna mambo ya kuweka sijui namba ulizotumiwa m-pesa yaani hakuna mzunguko.
 
Wazee wenzangu nimedeposit hela tgo pesa meridian bet toka alhamis mpaka leo stake haisom.ijapokuwa tgo pesa walishanifahamisha kuwa nimefanikiwa kutuma nafanyaje?
 
Back
Top Bottom