Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

0087eb73ccbd64a4b79b6766108bcb07.jpg
f83c47c2b1224b8fe836c9ab31887487.jpg
8fa6fb02f10e00dd381de1c1ec9f8373.jpg
2122cd3effb46d26b026af2177fb7348.jpg
8d8c28aecca8b5659a67a83dcb62ed25.jpg
 
Kuna wale majamaa kaingia kwenye jukwaa mara moja mara mbili baada ya siku kadhaa anaomba mtaji hahahahaha wazee watu wajukuwaa hili tuna wajua wale wazawa kabisa tuna wajua sasa wale wanao taka leta uhuni sio poa kuna watu tunaona kabisa kweli fulani amekwama anahitaji kiji mtaji kidogo wale wapita njia endeleeni kupita hivyo hivyo

Hii inaonesha kuna watu ndiyo ishu zao aseeeh, nishawahi kufuatwa pia
 
wazee tukumbuke kila wekend lazima mkubwa moja achane mkeka kwa ku draw au kupigwa!je leo nani ataharibu sherehe arsenal,man u ,chelesea au man city
 
kuna hii option inaitwa "at least one team will not score total under 2.5 , (yes/no). naombeni ufafanuzi tafadhali
 
Au odds ya 4 plz na shida ya pesa ya Kodi[emoji16][emoji16][emoji16] Sasa ninayo nusu Bora Ni double half of it
Hilo ni kosa kubwa sana mkuu unataka kulifanya, usije ukalia na kusaga meno.
Bet na kiasi ulicho teyari kukipoteza, sio una beti huku tumbo linaunguruma kwa wasiwasi na hofu ya kupoteza.
 
Hilo ni kosa kubwa sana mkuu unataka kulifanya, usije ukalia na kusaga meno.
Bet na kiasi ulicho teyari kukipoteza, sio una beti huku tumbo linaunguruma kwa wasiwasi na hofu ya kupoteza.
Ni kweli unachosema..ila hii Ni biashara kama biashara nyingine Kuna hasara na faida.to be successful businessman you should learn how to take risk!
 
Back
Top Bottom