Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

upload_2018-1-18_22-19-47.png
kama hii kumpiga simple sana aisee
 
Kuna wale majamaa kaingia kwenye jukwaa mara moja mara mbili baada ya siku kadhaa anaomba mtaji hahahahaha wazee watu wajukuwaa hili tuna wajua wale wazawa kabisa tuna wajua sasa wale wanao taka leta uhuni sio poa kuna watu tunaona kabisa kweli fulani amekwama anahitaji kiji mtaji kidogo wale wapita njia endeleeni kupita hivyo hivyo
 
Umeona na ww?
 
Nenda kwny ac yako,
Kisha kwa pemben utakutana na sehem ya promo code.

Ingia Hapo, km umepewa promo.

Basi, promo code zako utazikuta Hapo mkuu
Nielekeze namna ya kujiunga 1xbet mkuu,kila nikitaka kuregister wanataka promo code,sasa nitaipataje wakat hata account bado cjapata?
 
Back
Top Bottom