Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Hyo body yenyewe imekaa kihuni huni tu.
Mwez wa 11 kuna kijana alishnda 16.5 mil kule m-bet
Mkeka ulkua unasoma 16.5 mil after tax.
Akaitwa HQ akachukue Pesa ake.
Kufika Kyle akaambiwa hatopokea yote.
Watakata 18% kodi,
afu eti kisa gaming body wanasimamia ule mchezo.
kwny ule mkeka eti wakachukua 10%.
NKAWAONA nao WAHUNI TU.
Mbona MTU akibet kwny cm hao gambling board hawakatagi ela.
Mbona MTU akishinda kodi 18% haikatwi Mara 2.
Sina imani nao hao jamaa.
Kweli Kabisa Mkuu