Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Rmadrid
HT X
FT 2X
HT X

[HASHTAG]#WOOOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]

Screenshot_20180119-001837.png
 
Dah Zidane kanikera sana, ngoja tu nilale

hahaha ... bado akina Asensio wanaweza wakabeba jukumu mkuu. Ngoja tuone second half itakuwaje. Mimi tayari mkeka ushachanika, ila Olympiakos asingezingua na mm nilikuwa namsubiri Madrid nivute hela.

upload_2018-1-19_0-23-4.png
 
Na hii ndio sabab ukiwa na let say mfano sh.5,000 tu ktk tigo pesa yako ukituma yote kwenda premier muamala hautoki maana tigo watakosa cha kukata. So utaambiwa tu hakikisha una salio la kutosha kisha jaribu kutuma tena. Hapa ndipo utafahamu kama ingelikua hii pesa unakatwa na kampuni ya betting basi iyo 5000/ tigo wangeipeleka tu alafu kule wao premier wangekata iko kiasi wao kama kweli wao wangekua ndio wakataji.
Paybills /malipo
Nazani ni makubaliano ya kampuni husika na mtandao wa sim with reference to vodacom tz

Uki fanya muamala wa kulipa luku ni free hakuna makato
Ukilipa other paybills eg biko ni 220
So kwa wale wacheza biko wana elewa ukiwa na buku tuu kweny m pesa iyo pesa haiend same kwa makampuni ya kubet kuna kias kina chajiwa na mtandao so kina baki kweny mtandao wa simu

Kwa betting coy ya playmaster ambao ni wapya kwa online hakuna makato unapo deposit via tigopesa so generally nazan ni makubaliano kwa aya makampuni kwamba kampuni ikulipie izo deposit charges ama laaa!!!
 
hahaha ... bado akina Asensio wanaweza wakabeba jukumu mkuu. Ngoja tuone second half itakuwaje. Mimi tayari mkeka ushachanika, ila Olympiakos asingezingua na mm nilikuwa namsubiri Madrid nivute hela.

View attachment 679314
Sidhani aisee dah, nilimuomba goli 3 sasa kwa iyo half iliyobaki kupata goli tatu itakua ishu sana. Bora nilale ili ksho nisije sinzia kazini kisa upuuzi wa uyu Zidane, Mwache aende pesa yangu.
 
Paybills /malipo
Nazani ni makubaliano ya kampuni husika na mtandao wa sim with reference to vodacom tz

Uki fanya muamala wa kulipa luku ni free hakuna makato
Ukilipa other paybills eg biko ni 220
So kwa wale wacheza biko wana elewa ukiwa na buku tuu kweny m pesa iyo pesa haiend same kwa makampuni ya kubet kuna kias kina chajiwa na mtandao so kina baki kweny mtandao wa simu

Kwa betting coy ya playmaster ambao ni wapya kwa online hakuna makato unapo deposit via tigopesa so generally nazan ni makubaliano kwa aya makampuni kwamba kampuni ikulipie izo deposit charges ama laaa!!!
Exactly!Huko Telecomm ndio nyumbani kwangu Mkuu
 
Sidhani aisee dah, nilimuomba goli 3 sasa kwa iyo half iliyobaki kupata goli tatu itakua ishu sana. Bora nilale ili ksho nisije sinzia kazini kisa upuuzi wa uyu Zidane, Mwache aende pesa yangu.
nimeangalia gem kuanzia dk ya 43 kuna magoli wanayakosa kizembe kabisa na hawachezei mara nyingi kwenye 18 ni pembeni so ni kusukumana tu na throw in za kutosha huwenda wamebet
 
f9b632a64106680793f708ae4f10228e.jpg

[HASHTAG]#BETWOOOOOOOOOOOOOOON[/HASHTAG]

Free tips won [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji817][emoji817][emoji817][emoji817]☄☄☄[emoji91][emoji91][emoji106][emoji106][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736]☄☄☄[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji736][emoji736][emoji736][emoji817][emoji817][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]☄☄[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji106][emoji817][emoji817][emoji736][emoji736][emoji736]☄☄☄[emoji91][emoji91][emoji736][emoji736] free tips win,V.I.P result loading
Screenshot_20180119-003020.png
 
Hii ndicho walichonijibu customer service.

Nmebaki na maswali kichwani.

"Ina maana gan wao kuwepo live chat wkt km MTU ana complains.

Wanaona Solution ni kumbwagia link akapambane mwnyw"

Kingne km utaratibu wa kudeposit ni 1min mpk 24 hr.

Ina maana nkitaka kubet kesho kutwa sharti nideposit hela Leo usiku.

Honestly, sijaipenda support service yao.

Ni bora tu wamwage link za complains n suggestion website nzima, watu wa tufanye tu kutumia msg .

Zikijibiwa,hazijibiwi. Poa tu iwe ni bora liende.

kuliko kua live afu hawawezi kushughurkia tatizo LA MTU instantly.

OFF MOOD
Screenshot_20180119-002202.png
 
View attachment 679339

Hata mm nimetumia "Mobile Payment" method ... mpk sasa hela haijasoma kwny account. Nimejaribu kuchat nao wananiambia nisubiri saa moja na km bado haijaingia basi niwatumie email ...

upload_2018-1-19_0-44-49.png
 
Back
Top Bottom