Mr. Wise
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 7,733
- 6,470
Bado hana akili, unaanzaje kutaka draw wakati recently team yako imekua na matokeo mabaya na wachezaji wameanza kupoteza confidence?Mechi kama hii unaweka full mziki unashinda 5-0 kisha confidence kwa wachezaji anaanza kurudiNilishaandika kabla game no ronaldo benzema bale.hapa zidane ni draw anataka waje home second leg