DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,321
- 109,608
Nliambiwa uko on process,muamala uliocopy ulikubali?
Hebu nielekeze,
Customer support naingilia wapi maana natafuta siioni
Nliambiwa uko on process,muamala uliocopy ulikubali?
Ila hawa jamaa wana complications sana kiukweli kabisaaaMkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupay
Nikitaka kubet wanataka PROMO CODE ni ipikuna sehem hujaenda sawa.
Mkuu,.samahan kama najipendekeza sms ninazo ku quote unaziona lakini au uazipita tu
Nazan iyo njia unayo taka itumia inakua na mzunguko sana
Ufafanuzi hapa...
Tunajaza user name au jina LA kusajili kwny line?
Unatumia App? Kama unatumia app unaweza kuchagua mtandao wowote wa Tz utaokuletea dusupay utaenda kubadirisha mbele na kuweka mtandao wakoMkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupay
mkuu siyo kweli, hizo njia mbili za malipo ziko automatic, ukibofya ukaona umekuja njia ya kujaza kiasi then namba ya sim, rudi nyuma au toka kabisa harafu ingia refresh anza upya dusupay utaikutaMkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupay
Pale juu kwa my account..bonyeza utapta option call back watakupigiaNliambiwa uko on process,
Hebu nielekeze,
Customer support naingilia wapi maana natafuta siioni
Ilikuletea maandishi mekundu? Kama hayo maandishi mekundu wewe ndo utakua umekosea kuweka namba za muamalaNliambiwa uko on process,
Hebu nielekeze,
Customer support naingilia wapi maana natafuta siioni
hio tatizo sijakutana nalo kwakweli sina majibuNikitaka kubet wanataka PROMO CODE ni ipi
NBA leo tunatokaje mkuu?Premierbet na Supabets voda hawakati ila kwa Princess wanakata
Usiweke MPMkuu,.
nmeziona na nmezipitia kwa umakini.
Nmejtahd kwnd km ulvoelekeza pole pole step by step.
Ila still ela haijasoma.
Au tatizo ni ile kuanza na MP kwny ref no.
Nilishaandika kabla game no ronaldo benzema bale.hapa zidane ni draw anataka waje home second legUyu Zinadane mpuuzi sana sijui hajui kua tumeweka pesa zetu...dah leo akichemsha na hili team alilopanga ataondoka na elf90 yangu
mkuu sms ya kutoka mtandao unatumia ipoje? iko kama hii?Mkuu,.
nmeziona na nmezipitia kwa umakini.
Nmejtahd kwnd km ulvoelekeza pole pole step by step.
Ila still ela haijasoma.
Au tatizo ni ile kuanza na MP kwny ref no.
Du!! Atimae nmefanikiwa kaka many thanx.mkuu siyo kweli, hizo njia mbili za malipo ziko automatic, ukibofya ukaona umekuja njia ya kujaza kiasi then namba ya sim, rudi nyuma au toka kabisa harafu ingia refresh anza upya dusupay utaikuta
Kuna kitu wengi mnakichanganya kuhusu hayo makato ya Kudeposit, Wanaokata hizo pesa ni mtandao wako wala sio hizi kampuni za betting, sasa kibongo bongo ni airtel pekee hawana makato ya kulipia bill, so ukiwa airtel utasahau habari za ku deposit na kukatwa.
Hii ndio simple way na ninayo tumia mm izo zingine za dusupay mzunguko wake naona n mkubwa!!View attachment 679241 wakuu, naona kama kulipia through m-pesa ndo simple sana
Yan ni kitendo cha kujaza namba yako tu hapo ya cm then una confirm.. Baada ya hapo unaingia kweny menu ya m-pesa (*150*00#)
Select no4 (lipa kwa m-pesa)
Select no4 (no ya kampuni ambayo ni "400700")
Weka kumbkmb no " 0081bet"
Weka kiasi (1500)
No ya siri
Confirm
Then ukifungua kwe account yako na ku-refresh mzigo unasoma
Wakuu,
Hela yangu haijasoma mpk sahv.
Hii ni kawaida tu au ni kwangu tu?
Let me try itPale juu kwa my account..bonyeza utapta option call back watakupigia