Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Juz kaonyesha performance ya kijinga sn akiwa home ground akicheza na khimki.

Sio timu ya kuaminika kwa sasa, maana hicho kikapu kina home advantage.

Afu kwa upuuz anafungwa kizembe akiwa home.

Huko away si ndo atatia aibu kabisa?


ngoja tuone coz sijatupia, nimebet kwa macho tu
 
Ufafanuzi hapa...

Tunajaza user name au jina LA kusajili kwny line?
 
Screenshot_20180118-221639.png
 
Kaka hii namba ya kumbukumbu inabadilika kila ukidepost au haibadiliki?
Haibadiliki namba ya kampuni ila ya kumbukumbu ziko mbili ya kulipia mojakwamoja mpesa ni 0081bet na 008 dusupay kwa dusupay
 
upload_2018-1-18_22-28-45.png


Sijui vimefix match....mashuti 14, on goal 4 hawana goal. Wenzao shuti moja na ilo ilo on goal na wana goal
 
Back
Top Bottom