Hiyo ni kampuni ya simu ndo wamekukataafu kumbe kupost hela wanakata makato!!
Njia ya pili umetumia njia gani?daah njia ya kwanza nimefail ya pili naona nimefanikiwa japo sijapita ulipoelekeza ww!!all in all shukran
nimenda kwenye payment system nkabonyeza ikaja mitamdao nkachagua voda tz afu kuna sehem nkaweka namba yng ya cm afu wakatuma push msg kwenye cm yng jia za kupita (kama ulivyonielekeza ww)nkafuata afu wakaleta mesg ya kufanikiwa kudepostNjia ya pili umetumia njia gani?
okay naona ni kampuni ya cm inakata!!hv kiwango cha chini cha kubet ni kiasi gani maana nimetest mitambo na buku 2tuHiyo ni kampuni ya simu ndo wamekukata
Hamna mkuu,Mbona unatukimbia Princessbet?
Mkuu mimi naomba nikujibu Swali namba 2.HABAR ZA JION WAKUU,
Leo sjaonekana,
Nlkua bize kumalzia kesi yangu kule centro.
Al hamdulillah, kesi imeisha.
Nmetoka huko mda so mrefu.
Wakuu,
Kabla ya yote,Nitangulize
Shukran za dhati sana kwa msaada wenu khs HAWA jamaa wa 1xbet
Hakika, sisi ni familia moja.
Na Hatimae,kwa msaada wenu
Nmefanikiwa kuinstall 1xbet app.
Nmekua nacheck option zao na kufny survey ya hapa na pale kias khs app yao.
MREJESHO,
Nmegundua NI kwamba
HAWA jamaa wanaoption nyng sn kurahisisha kazi ya kutick mikeka.
Hii nmeiona kwny michezo km football,hockey,basket,volleyball na Tennis.
Afu kingn,
odds zao zina ujazo kias flan.
MF:
R.Madrid apige corner 2+ kila half.
Odds: 1.432
DUH, MPAKA NIKAHISI UTAKUA UTANI HUU.
CHANGAMOTO,
Kwa wazoefu,
Naomba mnisaidie haya maswali,
1.Napenda kujua km HAWA jamaa wana utaratb wa makato ya 18% mkeka unapotick.
2. Napenda kujua vipi procedures za withdraw na deposit.
3.Pesa inachukua mda gani kusoma kwny screen yako baada ya kudeposit
4.Pesa inachukua mda gani kusoma kwny line yako baada ya kuwithdraw.
5. Wana utaratibu UPI game inapokua postponed, na malipo huchukua mda gani baada ya game zlizobaki zote kutick.
6. Vp kuhusiana na utaratibu was cash out, Upo huko?
Kama upo, ni kwa vigezo vipi na procedures zipi?
7. VP kuhusiana na Customer support,
Unapopata tatizo, ni utaratibu UPI utautumia kuwasilisha tatizo lako.
AHSANTE,
NATUMAI SANA USHIRIKIANO WENU.
Nitafurah sana km ntajibiwa hzo changamoto zote hapo juu.
Ila kama kuna changamoto yoyte unauzoefu nayo, unaweza kujibu tu.
NATANGULIZA SHUKRANI.
View attachment 678906
WALIOZIFWATAA CONGSHong Kong
Match: Eastern AA - Kitchee
Tip: 3+
Time: 15:00
Extra tip: GG
International Games
Match: Cyprus Un19 - Denmark Un19
Tip: 3+
Time: 16:00
Extra Tip: GG
Hong Kong
Match: Eastern AA - Kitchee
Tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Time: 15:00
Extra tip: GG[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
International Games
Match: Cyprus Un19 - Denmark Un19
Tip: 3+[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Time: 16:00
Extra Tip: GG[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
Kumbukumbu namba " 008 dusupay"Kumbukumbu namba ni (008 dusupay)
Ukirudishiwa meseji ya malipo nakili pembeni namba ya muamala
Kisha rudi kwenye browser au app yako nenda kwenye Top up/ Deposit kisha bonyeza kuna kitufe cha kijani kidogo kitabadirika kua cheupe kisha shuka chini chagua mtandao wowote wa bongo hakikisha imetokea sehemu pekee ya kuandika hela tu uliyotuma (Isiwepo sehemu ya kuandika namba)
Ikitokea sehemu ya kuweka hela pamoja na namba ya simu kwa pamoja chagua mtandao mwingine uliopo bongo ( Usiogope kuhusu kuchagua mtandao tofauti na uliotuma ili mradi uwe ni wa Tanzania, mbele itakupa nafasi ya kuchagua mtandao wako)
Hiyo namba ya muamula utaenda kuiingiza mwishoni kuna sehemu imeandikwa Transactin ID
Slot 1 BET WONSlot No.1
Chelsea FC - Norwich City
Under 3.5 goals
1.41
HABAR ZA JION WAKUU,