Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,380
- 2,855
Hongera sana Mkuu.HATIMAE BET WOOOOON
Hongera sana Mkuu.HATIMAE BET WOOOOON
Twende na wakorea mkuu. Australia nimewachelewa.Habari za asubuhi wadau?
Tunaanza safari kama hivi, sijui itafika salama au itaishia njiani! Yote tumwachie mungu.
Na. 1 Australia inaanza saa tatu na nusu asubuhi.
Na. 2 na 3 South Korea zinaanza saa saba mchana.
View attachment 678491
Kai download kwenye browse moja kwa moja kuna muda play INA zinguagaWakuu,
Msaada wenu hapo juu
Nataka nijalibu hiv
Simba win
Azamu win
Stak 20000
Retun 76000 ushauli wenuu jaman
Game inaweza kwenda Draw. Ii game c yakubet seriously.Kwa Singida United pana shughuli hapo, sijui kwanini namkubali sana. Naona Singida United akishinda au kutoa draw
Mbona unatukimbia Princessbet?Wataalamu wa 1x bet naomba mwongozo wenu.
Nataka nikatest mitambo huko.
Nmejaribu kudownload app yao kutoka kwny website.
Ila NAONA inagoma installation.
Nkahs labda android yangu haijakidhi, but nkakuta iko poa tu.
Maana minimum ni 4.1 na ya kwangu ni 6.0
Button ya install haibonyezeki.
TATZO LITAKUA NN HAPO NA NAFANYAJE KULITATUA.
Madrid ameshindaje kwa winning margin ya 5 wakati game imeisha 75-73?HATIMAE BET WOOOOON