Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Wazee wa single bet
Antalyaspor v Kayserispor (GG) 1,70
Antalyaspor v Kayserispor (GG) 1,70
Nimeshajaribu hyo option but still inasumbuaUnabidi ukaruhusu kwenye setting ku install softaware kutoka kwa unkown source
Nmefny HVO,still imegomaunkown source pale umebonyeza kuwa active
Nimeweka kokoro la game 7, game zote zimetiki kasoro hizi mbili ambazo ndiyo zilikuwa zinaonekana za uhakika.
Au Download haikufika 100%, ifute na ujaribu kuipakua upyaNimeshajaribu hyo option but still inasumbua
Samahaaa naombaaa radhiiiweka simba win na maji maji weka double chance
Simba hawezi kumfunga Singida na Singida hawezi kumfunga SimbaNataka nijalibu hiv
Simba win
Azamu win
Stak 20000
Retun 76000 ushauli wenuu jaman
km kuna mtu alifwata BET WONguingamp vs lyon 1.5
amiens vs montpellier DNB2
psg vs dijon AH1-1
ODDS4 .
kabla sijatia mzigo mawzo yenu ni muhimu
Huwa inasumbua lakini badae inakubali. Hembu Jaribu Usiku wakati Network ipo vizuri zaidiNmefny HVO,still imegoma
Vizuri sana![]()
Hapo vp wadau?
Habari za asubuhi wadau?
Tunaanza safari kama hivi, sijui itafika salama au itaishia njiani! Yote tumwachie mungu.
Na. 1 Australia inaanza saa tatu na nusu asubuhi.
Na. 2 na 3 South Korea zinaanza saa saba mchana.
View attachment 678491
HATIMAE BET WOOOOONwakuu nimechezea za uso hadi mtaji umekata.imenibidi nichukue pesa za moto tsh200000 return 260000 within30deys
hatimae nimeanza hiv:
cska moscow vs anadolu efes(europe basket)over 169.5
fenabache vs panathinaikos 1
r.madrid vs soski baskonia-home achinde kwa wining margin 8ball.
cc;BUDDY.KONCHO77,DEEPPPND etc ushauri wenu kabla sijastake
|sikio la kufa,halisikii dawa: