Buddy
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 7,117
- 8,885
Duuh Wizards mamaeeeee ...
Huyo wa Tennis na Miami wametoa vzr kbs.
hii unaipata wapi?![]()
Match to avoid
Hahaha pole mkuu, mm nimeshinda Tsh.718,000/= hata Atletico Madrid nilibet wanafungwa.Kinoma sana yan Barcelona na Chelsea mafala
ahahahahhaDuh,
Sungura kamla simba.
Hongera mkuuHahaha pole mkuu, mm nimeshinda Tsh.718,000/= hata Atletico Madrid nilibet wanafungwa.
Account inasoma 0Nmepgwa nkabakiwa na scrotum tu [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hata yangu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Account inasoma 0
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata yangu mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli bet sio mchezo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeweka kokoro la game 7, game zote zimetiki kasoro hizi mbili ambazo ndiyo zilikuwa zinaonekana za uhakika.BET LOST
Tena 2 games. Hii kali
Bet nyosoKweli bet sio mchezo
Hao jamaa wako hoi sn, sidhan hata goli moja watawz kufungaLeo kuna mechi ya mawater water vs Azam kama ndio hawa kanji awez kufanya mambo kwel mpunga ukaenda maana team za bongo flavor njaa tu.
NI PALE ASUBUHI UNAPONYIMWA HELA YA SUPUUtah mpe under ya 210 ana odds 1.49 tukutane asubuhi
Dah! Nmeufuarilia huu mkeka mwanzo kulkuw na member shazi lakn wamesha kimbia namuona Asram tu [emoji23] [emoji23]Bet nyoso