koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,811
- 10,445
Kabisa mkuu! Matokeo ya NBA acha tu. Halafu mdau anasema direct win kwenye Basketball ndiyo rahisi kutabili. Ndiyo maana nikakaa kimya kwenye huo mjadala, naomba atupe feedback ya zile TIPS zake.