Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Hao Espanyol wataona cha moto wakija Camp Nou
Barcelona wanasepa na kijiji
Niliwahisema Jan n Feb miezi maraisi wanabet sana kurudisha helazao na kuongeza mtajii was timu..loh
Hahahaaaa yakisenge kinoma aisee.Dah football ndio naikataa sasa ivi
HAHAHAAAAAAAAAAFT CHELSEA 1-0/2-0
@UROWNRISK 1-1 FT
Hahahaaaaaaa polempwaa ngojaa liangaliwee kokorooolakeshoo kurudisha helaaAisee Psg hadi raha mwendo wa inplay Who will score 4 Psg-stake 15k, 5 Psg-stake 30k, 6 Psg-stake 30k, 7psg-30k 8psg-40k .....ila nikapotea nikajua litatokea La 9 nikaweka stake 30k......
Hahhahaha, Hela kwanza[emoji23]hahahah ... hii Arsenal yetu imekuwa "Business Firm" tu ... kukuza wachezaji na kuwauza ndo shughuli iliyobaki pale Emirates. Masuala ya kukimbiza makombe tumewaachia Man City ... sisi na mzee wetu acha tupige hela kwanza
Hahahaha
Yuko wapi yule wa 10 min X uhakika 100%