Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Haya wadau wa Basketball (NBA in particular) ... fanya uchambuzi wako kisha linganisha na hawa jamaa tupia. Mimi nawachukua wafuatao wazima wazima bila kujali ...

- Washington Wizards (odds 2.05)
- Miami Heats (odds 2.43) na
- Golden State Warriors (odds 1.23)


View attachment 678427

Game ya GSW hawa PrincessBet hawaiweki pumbavu zao. Wanaona tunamkalisha sana nini?
 
Aisee Psg hadi raha mwendo wa inplay Who will score 4 Psg-stake 15k, 5 Psg-stake 30k, 6 Psg-stake 30k, 7psg-30k 8psg-40k .....ila nikapotea nikajua litatokea La 9 nikaweka stake 30k......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Odds za kibabe ... Tennis (Australian Open - Men) & NBA.


upload_2018-1-18_1-54-42.png
 
Back
Top Bottom