Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Duh,
Huo Mkeka umeniuma utadhan ni wangu.

Ulijitahd sana kuupeleka

Ungetick nadhan ungekua unachekelea dola km 2,000 kwa stake ya dola 200.

Ulkua umetusua mkuu

POLE SN MKUU
asante swansea kageuza
 
Wataalamu wa 1x bet naomba mwongozo wenu.

Nataka nikatest mitambo huko.

Nmejaribu kudownload app yao kutoka kwny website.

Ila NAONA inagoma installation.

Nkahs labda android yangu haijakidhi, but nkakuta iko poa tu.

Maana minimum ni 4.1 na ya kwangu ni 6.0

Button ya install haibonyezeki.

TATZO LITAKUA NN HAPO NA NAFANYAJE KULITATUA.
Wakuu,
Msaada wenu hapo juu
 
Unabidi ukaruhusu kwenye setting ku install softaware kutoka kwa unkown source
 
Back
Top Bottom