Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Madrid apige corner 2 za mwanzo peke ake.

Odd: 1.365

Source: 1xbet
Screenshot_20180118-201809.png
 
Kuna nyngn nmeiona.

Event in the first minute
Minute 0.00 up to minute 0.59

No foul- odds 1.15
No throw in- odd 1.34
No card- odds 1.07

DUH,
mpaka nmebaki mdomo wazi aisee kwa hayo machaguo ya dakika moja ya mechi ikianza.
 
Handicap ya corner kwa Madrid.

Madrid aongoze kwa kupg corner nyng au watoke sare kwa idadi ya corner

Odd: 1.208
View attachment 678954
mkuu hii kampun kwa upande option iko vizuri sana, kipindi cha nyuma ilikuwa inanisumbua kwa upande wa kudepost kumbe nilikuwa nakosea mwenyewe, kudepost pesa haichukui hata dk kuonekana, kama utatumia njia iliyosahihi. kwa upande wa postponed event, huwa match haihesabiwi unapewa tu chako kulingana na odds zilizosalia. kuhusu cash out, kule wana kitu inaitwa "sell'" mfano uweke mkeka wenye stake ya 10k wanakupa sell ya 9k kama sijakosea...means kama utaamua kuchukua chako, utakatwa tsh 500 so utacash out kwa 9500 badala ya 10000.

kuhusu with draw, pesa haichukui hata dk 10 baada ya request(kwa uzoefu wangu) mpunga unakuwa tayari ushasoma kwa m.pesa.

kuhusu costomer care, wapo 24/7 hadi usiku wa manane hadi teregram wapo. ni hayo tu mkuu karibu sana 1xbet!
 
Mechi ya madrid vs leganes.

Kusiwe na substitution first half

Odds: 1.41

Source: 1x bet
Screenshot_20180118-202707.png
 
mkuu hii kampun kwa upande option iko vizuri sana, kipindi cha nyuma ilikuwa inanisumbua kwa upande wa kudepost kumbe nilikuwa nakosea mwenyewe, kudepost pesa haichukui hata dk kuonekana, kama utatumia njia iliyosahihi. kwa upande wa postponed event, huwa match haihesabiwi unapewa tu chako kulingana na odds zilizosalia. kuhusu cash out, kule wana kitu inaitwa "sell'" mfano uweke mkeka wenye stake ya 10k wanakupa sell ya 9k kama sijakosea...means kama utaamua kuchukua chako, utakatwa tsh 500 so utacash out kwa 9500 badala ya 10000.

kuhusu with draw, pesa haichukui hata dk 10 baada ya request(kwa uzoefu wangu) mpunga unakuwa tayari ushasoma kwa m.pesa.

kuhusu costomer care, wapo 24/7 hadi usiku wa manane hadi teregram wapo. ni hayo tu mkuu karibu sana 1xbet!
Wana accept customers wa airtel?
 
Nashkuru sn mkuu.

Binafsi naiona fursa kabisa ya Kumpga sn muhindi kwny hz option.

Hebu Nipe utaratibu wa deposit, nitie pesa sahv.

nitembee na hz option za mechi ya madrid

Afu Napenda kufahamu khs makato ya 18%.
 
kuna option flani inaitwa "none event will happen 1st five minutes" so unachagua "yes au kama hakuna kitakachotokea unachagua no" . odd unakuta 1.80 hadi 2!
 
Back
Top Bottom