Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Watakua wana accept,
Maana binafs nmefanya registration kwa line ya airtel na imekubali.

Nisjue kuhusu kudeposit.

Ngoja wazoefu wake watujuze zaid
Hii promo code wanayotaka ndio nn?nimeanza kujiregister
 
kuna option flani inaitwa "none event will happen 1st five minutes" so unachagua "yes au kama hakuna kitakachotokea unachagua no" . odd unakuta 1.80 hadi 2!
Nmeiona mkuu.

DUH, HAWA jamaa wamenifurahisha sn.

Naanza kuiona nyota iking'aa zaid kwny bet industry kupitia hao jamaa.

Hebu mkuu,
Tuongoze ktk hili.

Inabd sasa uwe mentor wetu.

Tukatengeneze mikeka ya Pesa nyingi huko.
 
2858bd29e195ae4b1c56e8471d585613.jpg
2ee2358fc1445af508b144574a3e0c8b.jpg
 
Mechi ya leganes vs madrid

No yellow card in first 15 minutes

Odds: 4.0

Source: 1x bet
Screenshot_20180118-204539.png
 
Nmeiona mkuu.

DUH, HAWA jamaa wamenifurahisha sn.

Naanza kuiona nyota iking'aa zaid kwny bet industry kupitia hao jamaa.

Hebu mkuu,
Tuongoze ktk hili.

Inabd sasa uwe mentor wetu.

Tukatengeneze mikeka ya Pesa nyingi huko.
Juma mosi iliyopita option hiyo ilinipa pesa ya maana. walah hawa jamaa Unaweza sema hawana njaa na hela!.
 
Hii promo code wanayotaka ndio nn?nimeanza kujiregister
Mm mwny sjaelewa vzur.

Ila nahs ni kwa wale wanaotaka kutia stake kwa kutumia awarded bonus.

Labda watakua wapewa bunus na serial code.

Nahs HVO,
Ngoja wataalamu waje watueleze vzur
 
Mm mwny sjaelewa vzur.

Ila nahs ni kwa wale wanaotaka kutia stake kwa kutumia awarded bonus.

Labda watakua wapewa bunus na serial code.

Nahs HVO,
Ngoja wataalamu waje watueleze vzur
Ebu nipe muongozo wa kujiregister
 
Back
Top Bottom