Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ha ha ha....
Ni mjinga wa aina gani unaikosa Pesa km hiyo.

Yaan kwa hzo option&odds hata mkeka ukichanika huwez lalama

Maana mda wowote hela inarudi tu easily tena na faida juu
Naona hawana option ya tigo pesa au kuna namna ya kuweka pesa
 
BETLOX TIPS
[emoji385] [emoji387] [emoji385] [emoji387] [emoji385]

[emoji460]️Silken organization vs Horsens
Pick [emoji117] (BTTS ==YES)

[emoji460]️Bukaspor vs Galatasaray
Pick [emoji117] (First 10 mins X)

[emoji460]️Uganda vs Namibia
Pick [emoji117] (Under 3.5 FT)

GOODLUCK AND WIN BIG TODAY
[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️[emoji460]️
 
Kuweka pesa kwa Tanzania kuna njia mbili za mitandao ya simu
1. Vodacom Mpesa
2. Airtel Money
 
Procedure za Ku deposit inategemeana na system kwa muda huo ila uchagui wewe ila zote ziko instantly
 
Mm mwnyw nawasubir wazoefu watuongoze.
Nimeona sehemu ya kuweka mkwanja fungua application nenda left top corner utaona sehemu imeandikwa top up account click hapo kuna option kibao including airtel money and m pesa... sijaona option ya tigo pesa [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Kuweka pesa kwa Tanzania kuna njia mbili za mitandao ya simu
1. Vodacom Mpesa
2. Airtel Money
Twende kazi,
Elezea vzur khs hapo kwa airtel.

Maana HAWA wengn,.
Kwny online payment makato yao ni makubwa mno.
 
Naskia wanakubali line zote TGO,Voda na airtel
Screenshot_20180118-211518.png
Screenshot_20180118-211451.png

Naona option za airtel na m pesa mkuu tigo pesa hakuna kitu hapa ndipo wameniangusha mkuu
 
Naisi hata tigo itakuwa inakubali kama system itakuruhusa kutumia dusupay ila kama topup ya push massage ni voda na airtel
 
Nashkuru sn mkuu.

Binafsi naiona fursa kabisa ya Kumpga sn muhindi kwny hz option.

Hebu Nipe utaratibu wa deposit, nitie pesa sahv.

nitembee na hz option za mechi ya madrid

Afu Napenda kufahamu khs makato ya 18%.
kudepost

kama unatumia app, click juu pameandika "top up" karibu na account yako.

then itafunguka, shuka chini changua mtandao husika unaoutumia kudepost( kwa uzoefu wangu tumia voda kwangu naona ndo safi zaidi).

baada ya kuclick kwenye mtandao husika itakwambia ujaze kiasi (tumia njia hii inayoanza kwa kujaza kiasi, usitumie njia ya kujaza kiasi then namba ya sim harafu ndo utumiwe SMS, hapana hiyo nja some time inasumbua) tumia njia ya kujaza kiasi then itakuja dusupay

baada ya kujaza kiasi utaclick utakuwa umeingia kwenye mfumo wa kutuma pesa kwa njia ya "dusupay"

baada ya hapo dusupay itakuuliza ni mtandao wa nchi gani unataka kutumia.

hapo click "mobile Tanzania" itafunguka then utaseleck Vodacom Tanzania/m. pesa.

baada ya hapo minimize/home Barton nenda kwenye mfumo wa kutuma hela kawaida @ mpesa... *150*00#

bofya 4
then bofa 4
janza namba ya kampun 400700
jaza namba ya kumbukumbu "008dusupay" (usiache space kati ya namba na maneno)

baada ya hapo utaletewa ujumbe wa mpesa (muamala)

kopy namba ya muamala wako, rudi kule kwenye depositing ukakamilishe muamala ile pesa Isome kwa account.

....OK click pale chini pameandikwa "complete order"

baada hapo itakuonesha sehemu ya 1 jaza namba yako ya sim uliyoitumia kutuma pesa( mfano 2557620782***)
2. jaza ulie muamala ulioukipi.
3 jaza jina lako unalitumia mpesa
4. jaza email yako
5 CONFIRM!!

HAPO UKI'REFRESH TAYARI PESA YAKO ILISHAINGIA CHAPU BILA TATIZO!! SAMAHANINI KWA MAELEZO MALEFU WAKUU
 
Back
Top Bottom