Srebrina
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 972
- 441
Kama ni dusupay andika kiasi bonyeza next itaenda kwenye dusupay hapo utachagua nchi then mtandao alafu watakupa proceed palepale then unabonyeza continue itafunguka sehemu utaandika namba ya simu jina lako kiasi namba za muhamala yani transaction id na email then kazi kwisha