kudepost
kama unatumia app, click juu pameandika "top up" karibu na account yako.
then itafunguka, shuka chini changua mtandao husika unaoutumia kudepost( kwa uzoefu wangu tumia voda kwangu naona ndo safi zaidi).
baada ya kuclick kwenye mtandao husika itakwambia ujaze kiasi (tumia njia hii inayoanza kwa kujaza kiasi, usitumie njia ya kujaza kiasi then namba ya sim harafu ndo utumiwe SMS, hapana hiyo nja some time inasumbua) tumia njia ya kujaza kiasi then itakuja dusupay
baada ya kujaza kiasi utaclick utakuwa umeingia kwenye mfumo wa kutuma pesa kwa njia ya "dusupay"
baada ya hapo dusupay itakuuliza ni mtandao wa nchi gani unataka kutumia.
hapo click "mobile Tanzania" itafunguka then utaseleck Vodacom Tanzania/m. pesa.
baada ya hapo minimize/home Barton nenda kwenye mfumo wa kutuma hela kawaida @ mpesa... *150*00#
bofya 4
then bofa 4
janza namba ya kampun 400700
jaza namba ya kumbukumbu "008dusupay" (usiache space kati ya namba na maneno)
baada ya hapo utaletewa ujumbe wa mpesa (muamala)
kopy namba ya muamala wako, rudi kule kwenye depositing ukakamilishe muamala ile pesa Isome kwa account.
....OK click pale chini pameandikwa "complete order"
baada hapo itakuonesha sehemu ya 1 jaza namba yako ya sim uliyoitumia kutuma pesa( mfano 2557620782***)
2. jaza ulie muamala ulioukipi.
3 jaza jina lako unalitumia mpesa
4. jaza email yako
5 CONFIRM!!
HAPO UKI'REFRESH TAYARI PESA YAKO ILISHAINGIA CHAPU BILA TATIZO!! SAMAHANINI KWA MAELEZO MALEFU WAKUU