Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mkuu mimi naomba nikujibu Swali namba 2.
Kwa uzoefu wangu hawa jamaa kwenye kudiposit haichukui hata dk moja pesa inasoma kwenye acc
Kuhusu kuwithdraw mara nyingi huwa inchukua almost 30 mins to 1 hr hii ni kwa mujibu wa uzoefu niliopata kwatika kuitumia hii 1×bet.
1-15 munutes pesa imesha soma kwenye m pesa kuna jamaa Mr Q amewahi kuweka uthibitisho wa hilo kuna wadau walikua wanasema inazingua kutoa.

kudeposit dakika haiishi imesha soma
ilauwe makini tu kwenye namba ya kampuni na ref number
DeepPond
 
Haibadiliki namba ya kampuni ila ya kumbukumbu ziko mbili ya kulipia mojakwamoja mpesa ni 0081bet na 008 dusupay kwa dusupay
Screenshot_20180118-223456.png
Nimefikia hatua hii lakini kwenye account bado haijasoma nafanyaje hili some maana iyocomplete order sijaiona msaada plz.
 
Unaacha nafasi
Shukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?

Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?

Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.

Ufafanuz tafadhar
 
Shukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?

Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?

Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.

Ufafanuz tafadhar
Anzia top up kwenye app
 
Back
Top Bottom