1-15minutesWithdrawal?
Duh,copy muamala tu
Rudia kama unadeposit ukufika ile sehemu ya kujaza weka huo muhamalaDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
mkuu nadhani maelezo hapo juu yamejitosheleza. ukiwa na voda ni rahisi sana tofauti na mitandao mingine. nasema hivyo kwa sababu juzi kati kuna dogo aliniomba nimsaidie kudepost kwa njia ya airtel, pesa ilipotelea hewani hadi sasa haijarudi. ubawa wa airtel ukicopy muamala ukipaste kule unagoma kusoma yaani sijui kwanini. ushauri tumia m.pesa kudepost
Logout login
haipotei kama transaction ID bado unayoDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
Kutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye DusupayShukran,
Afu Kipi kinapaswa kutangulia?
Kulipa kwanza Pesa kupitia airtl money au kuanzia kwny ile form kwny top payment?
Au hakuna kanuni , nawz anzia kokote mkuu.
Ufafanuz tafadhar
Airtel inaonekana kuna shida maana mi pia nimejarib chenga muamala unagoma kwenye ile form pia nkajaribu kuondoa MP pia imegomaDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
kuna sms nimeandika hapo ila nadhan hukuiona kabla hujamalizia muamala wakoDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
Waliiofwataaa single tips
[HASHTAG]#BETWOOOOOOOOON[/HASHTAG]
Premierbet na Supabets voda hawakati ila kwa Princess wanakataKuna kitu wengi mnakichanganya kuhusu hayo makato ya Kudeposit, Wanaokata hizo pesa ni mtandao wako wala sio hizi kampuni za betting, sasa kibongo bongo ni airtel pekee hawana makato ya kulipia bill, so ukiwa airtel utasahau habari za ku deposit na kukatwa.
mnakopi vibayaAirtel inaonekana kuna shida maana mi pia nimejarib chenga muamala unagoma kwenye ile form pia nkajaribu kuondoa MP pia imegoma
Okay kwahyo kumbe ujanja ni kutuma kwanza pesa kama unavyomtumia mtu, kisha ukipata hizo details za muamuala ndio unaenda kule ktk akaunt yako kufanya mchakato wa ku deposit, right?Kutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye Dusupay
Haijapotea rudia upya ku verify malipo yako pesa itasomaDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
Ebu anaetumia airtel money atujuze vizur maana huko juu maelezo naona ni Mpesa tuukuna sms nimeandika hapo ila nadhan hukuiona kabla hujamalizia muamala wako
rudia hatua zote ikifika sehem ya kuandika huo muamala weka ile code number inayo ambatana na sms ya uthibitisho wa malipo
pesa yako haijapotea kwasabb mimi mwenyewe nilikosea hivyohivyo kwenye mcheza.com ila nimeingiza namamba ya muamala na hii ni baada ya miez miwili nimeshangaa salio linasoma
kwa leo nimemaliza gud nyt all