mkuu haunaga voda, m.pesa? mkuu kabla sijaelewa nakosea wapi nilishapoteza miamala miwili kbsa hadi nikahisi jamaa matapeli, ila tatizo liko kwenye mitandao ya sim , tumia voda/dusupay ni ya uhakika hata dk haifiki tena SAA zingine pesa inaingia bila hata kupaste muamalaDuh,
Nmecopy pamoja na hyo mp.
Kwa maana hyo ela yangu ndo imepotea au?
Ndio hivyo, huku ukiwa umeiandika pembeni namba yako ya muamalaOkay kwahyo kumbe ujanja ni kutuma kwanza pesa kama unavyomtumia mtu, kisha ukipata hizo details za muamuala ndio unaenda kule ktk akaunt yako kufanya mchakato wa ku deposit, right?
kuna sehem hujaenda sawa.
hakuna tofauti labda sijui sms za Airtel zinakuja ktk mfumo upiEbu anaetumia airtel money atujuze vizur maana huko juu maelezo naona ni Mpesa tuu
muamala uliocopy ulikubali?Wakuu,
Hela yangu haijasoma mpk sahv.
Hii ni kawaida tu au ni kwangu tu?
Mm imekubalikudepost 1×bet
kama unatumia app, click juu pameandika "top up" karibu na account yako.
then itafunguka, shuka chini changua mtandao husika unaoutumia kudepost( kwa uzoefu wangu tumia voda kwangu naona ndo safi zaidi).
baada ya kuclick kwenye mtandao husika itakwambia ujaze kiasi (tumia njia hii inayoanza kwa kujaza kiasi, usitumie njia ya kujaza kiasi then namba ya sim harafu ndo utumiwe SMS, hapana hiyo nja some time inasumbua) tumia njia ya kujaza kiasi then itakuja dusupay
baada ya kujaza kiasi utaclick utakuwa umeingia kwenye mfumo wa kutuma pesa kwa njia ya "dusupay"
baada ya hapo dusupay itakuuliza ni mtandao wa nchi gani unataka kutumia.
hapo click "mobile Tanzania" itafunguka then utaseleck Vodacom Tanzania/m. pesa.
baada ya hapo minimize/home Barton nenda kwenye mfumo wa kutuma hela kawaida @ mpesa... *150*00#
bofya 4
then bofa 4
janza namba ya kampun 400700
jaza namba ya kumbukumbu "008dusupay" (usiache space kati ya namba na maneno)
baada ya hapo utaletewa ujumbe wa mpesa (muamala)
kopy namba ya muamala wako, rudi kule kwenye depositing ukakamilishe muamala ile pesa Isome kwa account.
....OK click pale chini pameandikwa "complete order"
baada hapo itakuonesha sehemu ya 1 jaza namba yako ya sim uliyoitumia kutuma pesa( mfano 2557620782***)
2. jaza ulie muamala ulioukipi.
3 jaza jina lako unalitumia mpesa
4. jaza email yako
5 CONFIRM!!
HAPO UKI'REFRESH TAYARI PESA YAKO ILISHAINGIA CHAPU BILA TATIZO!! SAMAHANINI KWA MAELEZO MALEFU WAKUU
Ngoja nirudie tena kuverifyHaijapotea rudia upya ku verify malipo yako pesa itasoma
Mimi mwenyewe nshaangaika mpaka kichwa kimechiz bado pesa haijasoma sjui nakosea wap maana nikilud kule naona km naanza process upya za kudepost.Wakuu,
Hela yangu haijasoma mpk sahv.
Hii ni kawaida tu au ni kwangu tu?
samahan kama najipendekeza sms ninazo ku quote unaziona lakini au uazipita tuWakuu,
Hela yangu haijasoma mpk sahv.
Hii ni kawaida tu au ni kwangu tu?
anza process upya kisha hapo kwenye transaction ID weka namba inayokuja na sms ya uthibitishoMimi mwenyewe nshaangaika mpaka kichwa kimechiz bado pesa haijasoma sjui nakosea wap maana nikilud kule naona km naanza process upya za kudepost.
Mkuu shida inaweza tokea kama atalipia alafu wakati anaenda Ku deposit wakamletea ile njia ya bila dusupay mi ishawai ntokea nilikaa kama sikutatu ndio ikarudi dusupayKutuma kwanza pesa, kisha nakili namba ya muamala utaenda kuijaza kwenye Transaction ID page ya mwisho kwenye Dusupay
FT DRWView attachment 679249
Haki ya nani uyu Zidane atakua ana bet ili hata akitimuliwa aondoke na pesa nzuri, si kwa kikosi hiki alichokipanga maana hakomi
Ronaldo hachezi[emoji33]Ronaldo to score
Madrid anakufa hii gameFT DRW
STAKE WIFE MPWAAAA WAKOKIKAZI JANUARY